Makala kuhusu mradi wa Haki katika Misitu

Makala maalumu kuhusu mafanikio yaliyofikiwa na mradi wa Haki katika Misitu kuanzia mwaka 2011 hadi mwaka 2013. Mradi huu ulikuwa unatekelezwa na Shirika la kuhifadhi Misitu ya asili Tanzania(TFCG)na Mtandao wa jamii wa usimamizi wa misitu Tanzania(MJUMITA)

Bofya hapo chini kwa maelezo zaidi.

Advertisements