Wakulima wahamasika kujiunga na kilimo rafiki na mazingira

Wakulima wa kijiji cha Machali wilayani Chamwino wahamasika kujiunga na kilimo rafiki na mazingira baada ya kuona wakulima wenzao wamenufaika kwa kupata mazao ya kutosha. Pia mkuu wa wilaya amewashauri wakulima kutumia mbolea za wanyama na mbolea za mimea kama maganda ya karanga ili kuweza kupata mazao ya kutosha. Pia kujiunga kwenye vyama vya ushirika ili kuweza kupata masoko kwa urahisi.

Bofya hapo chini kwa maelezo zaidi:

Advertisements

Kazi ni wajibu

Wakulima wa vijiji vya Mahama, Manchali na Nzali kutoka wilayani Chamwino wakizungumzia jinsi gani Kilimo rafiki na mazingira kilivyoweza kuwasadia kukabiliana na mchangamoto za mabadiliko ya tabia nchi hususani ukame, na kuwawezesha kupata mavuno ya kutosha  na kujikwamua katika janga la njaa na umasikini.

Part 1

Part 2